Posts

Showing posts from June, 2021
Ndoto na tafsri zake leo nitazungumzia ndoto zote zinazohusiana na shule yako ya zamani. unaweza kuota bado unasoma katika shule ambayo ulishamaliza kitambo. Au unafanya mitihani au umechelewa kuingia kwenye chumba cha mitihani, au umepoteza kalamu . huoni daftari au meza yako shuleni imeondolewa unatafua ukae wapi na kadhalika. ndoto zote zinazokuonyesha upo madarasa ambayo umewahi kupita zinaweza kuwa na maana zaidi ya moja, inategemea umeota ukiwa kwenye mazingira gani na umezungukwa na nini, na pia hali yako ya kiriho ikoje katika muda huo.